top of page

BELLA SUGAR CRAFT
Miundo Ya Sukari
Hili darasa la Princess na mbilikimo saba linafaa wanafunzi ambao wana ujuzi kidogo wa kutengeneza miundo sukari.
​
Kwenye hili darasa maalumu la siku tano utafundishwa jinsi ya kutumia modelling paste ya sukari kutengeneza miundo ya kupendeza kwa ajili ya cake zako.
​
Utaumba kwa kutumia kimono yak kutengeneza miili na nyuso kutokana na hii paste ya sukari.
​
Baada ya hapa utapaka rangi miundo yako maridadi kabisa, tutafanya hivyo kiufundi mno kwa kutumia rangi ambazo ni salama kuliwa na binadamu , hivyo kumuweka salama mteja wako wa cake.
​
bottom of page