top of page

Private Classes

 

Haya ni madarasa kwa wale wanaotaka kujifunza kwa muda wao, labda kwa ajili ya kushindwa kuhudhuria madarasa ya kikundi .Hili darasa litatengenezwa kutokana na nafasi ya mwanafunzi .

 

Unaweza kusajili kujifunza na Bellafrida ambapo atakuwa na wewe hatua kwa hatua mpaka mwisho na makosa yako kusahihishwa hapo hapo mkitengeneza pamoja .

​

Maswali yako yote yatajibiwa wakati wa darasa . Bei ya darasa hili inategemeya na uhitaji wa mwanafunzi na muda ( ni maelewano )

​

kujifunza kwa mmoja mmoja inasaidia kujua kwa haraka zaidi ambapo itapelekea kuinua ujuzi wa kutengeneza maua kwa nguvu zaidi .

​

Bellafrida anafurahia kufanya kazi na wanafunzi wa hatua tofauti haijalishi ni ambaje hajui kabisa au pia ambae ana ujuzi kidogo , wote wanakaribishwa.

​

Mwalimu pia anaweza kuja sehemu jako ya biashara kuboresha utengenezaji wako wa maua , huduma pia inaweza kupatikana kwa njia ya zoom - online .

 

 

​

IMG_2409_edited.jpg
BSC-GOLD14_webfoot.png

© 2019  by  Bella Sugar Craft. All rights reserved

bottom of page