
BELLA SUGAR CRAFT

"Learn Sugar Flowers From Home "
Online Classes
Hii ni njia bora ya kujifunza kwa urahisi ukiwa nyumbani kwako mwenyewe, video zetu za mtandaoni hukuruhusu ujifunze kwa kasi yako mwenyewe na unapokuwa na wakati.
​
Unaweza kujifunza kwa kuunda na kurudiarudia mara nyingi utakavyo kwa madhumuni ya kufanya mazoezi hadi utakapokamilika.

To watch the full class video's : Pay , become a member , Enjoy watching as many times as you want .
JIFUNZE
Nitakufundisha jinsi ya kutengeneza maua tofauti ya sukari ya kupendeza ambayo yatafanya kazi yako ionekane ya kitaalamu zaidi na kuvutia zaidi
Hii ni nafasi nzuri sana kama lewe ni mgeni wa sanaa ya maua na ulikuwa unasubiri kupata nafsi ya kujifunza.Utajifunza ujuzi kuanzia mwanzo kabisa utakaokuwezesha kujiamini katika kazi zako za upambaji wa keki.
Lakini hata kama wewe unao ujuzi tayari wa maua njoo ujiunge kuendeleza ujuzi wako kuenda juu zaidi na upate nafasi ya kujibiwa maswali yako ili uzidi kujiboresha zaidi.
​
UNACHOPATA
-
Utambulisho wa vifaa vya kutengeneza sugar flowers
-
Gum paste recipe
-
Kutumia rangi za gel kubadili rangi
​
-
Hatua kwa hatua ya kutengeneza maua , stamens na majani
-
Kupaka rangi maua
​
-
Kufunga schema tofauti za ua ili kipato ua zuri lililo kamilika
-
Kuweka maua kwa keki