top of page

BELLA SUGAR CRAFT


Warsha
Njoo ungana nasi kwa siku ya kupumzika wakati ukipata ujuzi mwanana wa kutengeneza sanaa sukari na kujadili kuhusu biashara hii kwa ujumla.
Warsha za namna hii ni nzuri kwa watu wenye mwelekeo sawa kukaa na kujaribu kugawana na kujengana.
Tunaamini kwamba maarifa yaliyoshirikiwa , ni maarifa yaliyopatikana , kwa njia nyingi. Tunaamini kwamba hakuna atakayesimama peke yake katika ulimwengu huu wa ufundi wa sanaa ya sukari. na hivyo basi kwa kushiriki maarifa yetu, sisi sote tunapokea zaidi ya tunachotoa , na ndo tunatarajia kila mtu ataondoka akiwa na akiba ya maarifa mapya.
Sasa basi , sote tukutane katika mazingira tulivu na kuzungumza juu ya hadithi zetu na kuunda kazi ya sanaa ambayo ni ya kipekee kwa kila mmoja wetu.
bottom of page