top of page
BELLA SUGAR CRAFT
VIFAA
BSC Tools
Watch Now
Vifaa vyetu vimetengenezwa kwa ufasaha mkubwa kwa kutumia nyenzo bora.Hivi vinaweza kununuliwa kwa kimoja au kwa bei rahisi ya jumla (kuanzia vipande vitano). Vifaa vyote vinapatikana
Ujerumani na Dar es salaam , Tanzania lakini pia tunatuma popote pale duniani .
Tafadhali angalia bidhaa unayopenda halafu unaweza kununua hapa kwa website au tuma order yako kwenye namba yetu ya WhatsApp .
Wasiliana nasi kwa Whatsapp nambari +255 758 321 689 OR +41768270444 .
bottom of page